Category Archives: GS Office

Tamko la Jukwaa la Wakristo Kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi 30 Machi 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sisi, Maaskofu kutoka TEC, CCT na CPCT tumekutana leo tarehe Machi 30, 2015 hapa Dodoma ili kuomba kwa pamoja juu ya mgawanyiko unaodhihirika wa dini za Kikristo na Kiislamu kutokana na muswada wa Mahakama ya Kadhi. Maaskofu tuliokutana hapa hatuna hasira na wala hatuongozwi na hasira wala mihemko katika kufikia maamuzi tunayofanya kama ambavyo wengine wanavyotutafsiri. Tunafikia maamuzi yetu baada ya maombi na sala na tunasukumwa na upendo kwa wananchi ili kujenga taifa lenye umoja,

CCT Staff Retreat

Jubilant climbers poising for a photo at Mandara Huts after an 8 km feat

“He who returns from a journey is not the same as he who left.” A Chinese proverb goes. I doubt if any of the CCT staff will be opposed to this ancient wisdom. After having four days away from office: two days for travelling, one for spiritual reflection and sports, and another for hiking; it is not the same! For the past few years CCT has been offering its staff a short break for both meditation and reflection. With focus

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania

Bishops in the meeting

TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA, MAHAKAMA YA KADHI NA HALI YA USALAMA NA AMANI YA NCHI. Sisi Maaskofu wa Jukwaa la Wakristo Tanzania linaloundwa na Taasisi za Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) tuliokutana leo tarehe 10.03.2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina kuhusu hali ya usalama wa nchi ilivyo sasa na mustakabali wake, Katiba inayopendekezwa na uanzishaji wa Mahakama ya Kadhi. Baada

TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO KUHUSU MAHAKAMA YA KADHI

JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSU   MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI WA MWAKA 2014   Sisi Maaskofu, wajumbe wa jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 20 Januari 2015, Dar es salaam, tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ya 2014 unaopendekeza, pamoja na mambo mengine, marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria za Kiislamu la mwaka 1964. Mswaada huu

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania Kuhusu Mchakato wa Katiba

Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es salaam , tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Rasimu ya pili ya Katiba na mjadala unaoendelea katika Bunge Maalum la Katiba. Baada ya mjadala wa kina, tunatoa tamko letu kama ifuatavyo: Tunaipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilikusanya Maoni ya WANANCHI kuhusu mabadiliko hayo na kutuletea Rasimu yenye maoni mengi ya Watanzania bila kujali dini zao, upande wa

Bishops’ Seminar on Islam

CCT Bishops

Ignorance is bliss, so they say, but may be not always. Following the mounting tensions between Muslims and Christians in Tanzania, and East Africa in general, the church has been frequently caught in surprise. From the rise of mihadhara in the late 1980s to the recent church burnings, things have came up like a thief in the night. It may be too judgmental to say that the church has been playing ostrich. However it can be challenged for not taking

Recent Entries »