Category Archives: slider

Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Odunga akifurahia moja ya mifuko mbadala iliyotengenezwa na Jumuiya ya Kikristo Tanzania .

CCT yatengeneza mifuko(vifungashio) mbadala.Hii ni kutokana na mifuko ya plastiki kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira. Picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Odunga akifurahia moja ya mifuko mbadala iliyotengenezwa na Jumuiya ya Kikristo Tanzania . Ni katika siku ya maonyesho ya bidhaa za wajasiliamali yaliyoandaliwa na Edodoma Empowerment yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia Tar 21-28 May 2019

Training of Community facilitators for CCT Strong Woman Program

 Representative of General Secretary TAMISEMI Mr. Victor Kategere Launching the Training of Community facilitators for CCT Strong Woman Program on 8th March 2019 at Morena Hotel. The training is conducted from 8th to 14th where by participants are coming from four regions ( Dodoma, Mara,Mbeya and Songwe) where the program is being implemented. The purpose of the training is to build capacity of Community facilitators in political and economic issues so that they are able to support the implantation of

OMBI LA KUSHIRIKI HARAMBEE

Jumuiya ya Kikristo Tanzania kupitia Mkutano Mkuu wa 29 uliofanyika Julai 2017, pamoja na mambo mengine ulipitisha Mkakati wa miaka mitano wa CCT kujitegemea kiuchumi.  Mojawapo ya mapendekezo ya kimkakati ni kuandaa na kufanya uchangiaji wa njia ya Harambee.  Kwa msingi huo, Mkutano wa Halmashauru Kuu ya 52 iliyokutana tarehe 12-13/7/2018 Dodoma ilipitisha andiko kuhusu Harambee ya Kitaifa inayopangwa kufanyika Julai 2019.  Mgeni Rasmi wa Harambee hiyo alipendekezwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli;  ambaye

UWAKALA WA BIMA

HABARI NJEMA Jumuiya ya Kikristo Tanzania katika muendelezo wa mpango wake wa kujitegemea kiuchumi, imeanzisha Mradi wa Uwakala wa Bima kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa jina la CCT INSURANCE AGENCY, ulioanza  Desemba 2018. Mradi huu unaendeshwa kutoka Makao Makuu CCT Dodoma na katika ofisi  zinazofunguliwa  nchini kote chini ya Uongozi wa CCT Mikoa. Hivyo ukiwa kama mdau muhimu kwetu unakaribishwa sana kupata huduma zote za Bima, kwa haraka, ubora na uhakika. HUDUMA ZETU Zifuatazo ni Bima zinazotolewa

Strong Woman Program

This is a special program under Development and Advocacy Directorate.  It aims to ensure responsive and inclusive engagement of women and girls in political life from grassroots to national levels leading to equal access to justice for all and promote women’s economic empowerment and opportunities to participate in the labour market with sustainable access to economic resources. It has two main objectives: Ensure equal participation of women and men in political life Ensure that women have full economic rights and

« Older Entries