More details

CCT imewasilisha mapendekezo kwenye kikosi kazi kilichoundwa na Raisi wa Jamuhuri ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kupokea maoni ya namna ya Kuimarisha Demokrasia na kuboresha mfumo wa Uchaguzi nchini Tanzania