More details

Mkurugenzi wa Utume na Uinjilisti CCT, Mchg David Kalinga amefanikiwa kutembelea matawi ya USCF katika vyuo vifuatavyo Jijini Arusha, ATC, IAA na TICD. Amewasihi vijana kumtumikia Mungu katika ujana wao na kuwa na maisha ya ushuhuda na kumhubiri Kristo kwa wanafunzi wengine. Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya…(Mhubiri 12:1)