More details

Picha ya pamoja baada ya ibada ya kumwekwa wakfu na kumsimika Askofu Mchg. Dkt. Syprian Yohana Hintili Tarehe 30 Oktoba, 2022. Ibada hiyo imefanyika katika kanisa kuu la Uaskofu Imanuel KKKT Singida. Katibu Mkuu wa CCT Mchg. Canon Dr. Moses Matonya CCT alihudhuria ibada hiyo.